Top Stories

Mafuriko yatikisa Tabora, RC Mwanri “Hiki ni cha mtoto”, Wananchi walia (+video)

on

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini, usiku wa December 3 majira ya Saa 5 usiku mvua kubwa imenyesha katika Manispaa ya Tabora na kupelekea baadhi ya nyumba za wananchi katika Kata ya Mpela Mtaa wa Mwalitani(FREEMASON) kujaa maji yaliyosababisha mafuriko.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameshiriki zoezi la uokoaji “kama kuna ndugu yako hujamuona mpigie simu tujue yuko wapi itasaidia na kila kitu kipo under control” RC Mwanri

Soma na hizi

Tupia Comments