June 20 2016 gazeti moja liliripoti taarifa ambazo zilidai kuwa mafuta ya taa yameadimika katika mikoa kadhaa nchini ikiwamo Dar es salaam, Morogoro, Mwanza, Mtwara na Mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Ayo TV imezungumza na Mkurugenzi wa Petrol kutoka EWURA injinia Godwin Samweli ili kupata ufafanuzi wa taarifa hizo ambapo amekanusha kuwepo kwa uhaba wa mafuta hayo na kusema yapo ya kutosha na meli kubwa imemaliza kushusha lita milioni 2.5 ambazo zitatumika kwa siku 20 na mengine yapo kwenye matanki.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII YA JWTZ KUTOA UFAFANUZI KUHUSU KIFARU KILICHORIPOTIWA KUIBIWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE