Ukitembelea kwenye vituo vya mafuta utakuta alama mbalimbali zimewekwa ambazo zinaelekeza mambo ya kufanya uwapo eneo hilo iwe kwa miguu au chombo chochote cha usafiri.
Miongoni mwa alama hizo ni pamoja, kuzima kabisa chombo cha moto wakati unawekewa mafuta, kuzima simu unapokuwa maeneo ya kituo hicho na kutovuta sigara, lakini pengine hukufahamu kwa nini alama hizo hutumika.
Leo April 20, 2017, millardayo.com na AyoTV imemtafuta mtaalam James Noel ambapo moja ya maswali aliyoulizwa ni kwa nini simu zinazuiliwa kwenye vituo vya mafuta, na hapa anatoa ufafanuzi.
Nimekwekea video hapa chini bonyeza play kutazama…
VIDEO: Ni kweli kuna ugonjwa mpya wa hatari Tanzania?, Bonyeza play hapa chini kutazama