AyoTV

VIDEO: ‘Hatujaanza leo kuyasema haya..zichukuliwe hatua’ -Chegeni

on

Mbunge wa Busega Raphael Chegeni ameitaka Serikali kuchukua hatua kila inapopokea taarifa mbalimbali za migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Akizungumza Bungeni leo May 23, 2017 Chegeni amesema kuwa Serikali imekuwa ikishindwa kufanya utatuzi wa migogoro hiyo licha ya kupokea taarifa.

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo 

Soma na hizi

Tupia Comments