Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli

on

January 1 2016 Rais Dk. John Pombe Magufuli alishiriki katika ibada ya mwanzo wa mwaka mpya 2017 na waamin wa kanisa katoliki Bukoba Cathedro ikiwa ni mojawapo ya ratiba yake katika ya siku mbili mkoani Kagera iliyoanza leo ambapo katika hotuba yake amesisitiza hatua ya serikali kuzuia ongezeko la gharama za umeme.

Rais Magufuli amesema…>>>’Umeme unakwenda mpaka kwa masikini walioumbwa kwa mfano wa Mungu alafu Mtu pekee sababu ya cheo unapandisha bei ya umeme

Haiwezekani unapanga mikakati kujenga viwanda na kusambaza umeme vijijini alafu Mtu sababu ya cheo chako unapandisha bei ya umeme‘ –Rais JPM

Namshukuru Waziri wa Nishati ameshatengua maamuzi kwahiyo umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitaendelea kuyatumbua‘- Rais JPM

Unaweza kuendelea kumsikiliza Rais Magufuli kwenye hii video hapa chini….

ULIIKOSA HILI AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU WAMACHINGA ?

unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments