AyoTV

VIDEO: “Katika hili lazima nimshukuru Rais Magufuli” – Maftaha Nachuma

on

Kama umezoea kusikia wabunge wa upinzani wakiikosoa tu serikali kila siku basi leo Mbunge wa Mtwara Mjini kupitia CUF Maftaha Nachuma ameonesha tofauti katika hilo na kuwataka wabunge wajifunze kushukuru. Nachuma pia akatumia nafasi hiyo hiyo kueleza changamoto zilizopo jimboni kwake.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Mbunge Musukuma kawajibu Mawaziri waliotenguliwa na Rais Magufuli 

Soma na hizi

Tupia Comments