Top Stories

Magari ya umeme, Rwanda yaingiza 20 Mtaani “unachaji DK 40, halina injini” (+video)

on

Rwanda ndio Taifa la kwanza Afrika kuingiza magari ya umeme ya Volks Wagen mtaani ambapo tayari magari 20 iliyoyaingiza yameanza majaribio kwenye Mji wa Kigali na kubeba Watu mtaani, Reporter wako Millard Ayo nakupatia info zote unazohitaji kufahamu kwenye magari haya ambayo kwenye gharama yanaokoa pesa asilimia 75 ikilinganishwa na magari yanayotumia petroli.

Soma na hizi

Tupia Comments