Magazeti

Umekua busy? nimekurekodia hapa magazeti ya leo November 17 yakisomwa kwenye Radio

on

power bHuu ni mfululizo wa kukuletea kile kinachosomwa Magazetini kila siku kwenye show ya Power Breakfast ya CloudsFM kila siku asubuhi nikizingatia kwamba kuna uwezekano mkubwa asubuhi ukawa busy na ishu mbalimbali hivyo ukawa mbali na Radio.

Magazeti yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James ambapo miongoni mwa zilizochukua headlines ni pamoja na stori ya Waziri wa maji Profesa Jumanne Maghembe kuzungumza kuhusu ishu ya kugombea Urais.

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza stori zote…..

 

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments