Magazeti

Kama ilikupita redioni isikilize hapa.. Madereva TZ kugoma.. wauaji albino kupigwa risasi.. #PowerBreakfast

on

Press_Play_by_popoto900

Hizi zimekolezewa wino kwenye HEADLINES za MAGAZETINI April 8 2015.. Zikasogea kwenye meza ya PowerBreakfast @CloudsFM kuchambuliwa.. Nimerekodi na kukusogezea hapa mtu wangu uliepitwa.

Utasikia stori ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Malawi kuamua atakaekutwa na kesi ya albino kupigwa risasi, madereva TZ wanapanga kufanya mgomo IjumaaSUMATRA kushindwa kutangaza viwango vipya vya nauli kama ilivyoagizwa, utata watawala kifo cha Askari aliyejipiga risasi Tabora.

Mamlaka ya Bandari imezitaka Benki kufanya kazi saa 24 ili kuongeza ufanisi, wakazi wa Mwenge waiomba Serikali kuwapatia kituo cha abiria, radi yaua watu wengine 3 Geita, muumini aliyeingia na bastola Kanisani aachiliwa kwa dhamana na iko stori ya Askofu aliyesema anatamani kumpiga Waziri kwa kushindwa kuzuia malori.

104.1 Clouds FM inasikika ukiwa Bukoba.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza uchambuzi wa story zote za leo…

millardayo.com ni sehemu yako utakapozipata zote unazozitaka, vichekesho, stori za siasa, muziki, michezo, movies, magazeti, video mpya na nyingine kubwa….  unaweza kujiunga na mimi Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments