Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Magazeti

Mazishi ya Askari waliouawa Mkuranga, mapya ya Treni ya Deluxe na kura ya maoni katiba TZ kwenye #PowerBreakfast

on

 listen

Nimekusogezea hizi story mtu wangu ni zile zilizopewa Headlines katika Magazeti ya leo April 02, Power Breakfast @CloudsFM ikafanya uchambuzi.. kama hukusikiliza unaweza kusikiliza hapa…

Polisi aliyenusurika kifo asimulia kilichotokea na kusababisha wenzake kuuawa na majambazi huko Mkuranga, waumini wametakiwa kuwa watulivu wakati Askofu Gwajima akiripoti Polisi, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajia kufuta maadhimisho mbalimbali ya kitaifa, Treni ya kisasa ya Deluxe imeanza safari zake jana kutoka Dar kwenda Kigoma, SUMATRA imesema nauli za mabasi na daladala zitashuka wakati wowote, imebainika kuwa zaidi ya nusu ya Watanzania wataipigia kura Katiba inayopendekezwa na Wabunge wa UKAWA wasababisha kikao cha Bunge kuvunjika jana.

Katika uchambuzi huu wa Magazeti kulikuwa na mahojiano na wadau mbalimbali pamoja na Wahariri waliozungumzia kuhusu mchakato wa upigaji wa kura ya maoni ya katiba inayopendekezwa.

104.1 Clouds FM inasikika ukiwa Bukoba.

Hizo zilisikika kwenye PowerBreakfast @CloudsFM, kama ilikupita bonyeza play hapa mtu wangu utasikia zote…


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments