Katika zile zilizopewa Headlines kwenye Magazeti ya leo March 20, iko ya Serikali bado haijawasili kwenye ofisi za Bunge muswada ikiwemo ya vyombo vya habari ambayo itasomwa na kujadiliwa kwenye vikao vya Bunge vinavyoendelea, chama cha ACT kimejipanga kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ajali zimendelea ndani ya hifadhi ya Mikumi baada ya watu 7, kufariki kwenye ajili ya basi jana ndani ya hifadhi hiyo, wanafunzi wa shule ya Sekondary Mwika na Ashira wamesema mfumo wa BRN nivigumu kutekelezeka katika sekta ya elimu, Mkuu wa Mkoa wa Dar Saidi Meck Sadiki ameishauri BOT, kuzibana benki na taasisi za fedha kupunguza riba ili wananchi wengi wakope, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameelezea kukerwa na mafisadi wa fedha za umma kuachwa badala la kuchukuliwa hatua kali, Bunge limeitaka Serikali kupiga marufuku uingizwaji wa silaha bandia nchini, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini, Serikali na wadau wa sekta ya elimu wametakiwa kuboresha shule kongwe nchini.
88.0 Clouds FM inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza Uchambuzi wa Magazeti ya Leo
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook