Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ajali Mikumi, muswada Bungeni na Mkapa uteuzi wa viongozi zote kwenye#PBClouds FM
Share
Notification Show More
Latest News
The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
December 10, 2023
RC Chalamila apongeza Polisi na Barrick kwa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
December 10, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Ajali Mikumi, muswada Bungeni na Mkapa uteuzi wa viongozi zote kwenye#PBClouds FM
Magazeti

Ajali Mikumi, muswada Bungeni na Mkapa uteuzi wa viongozi zote kwenye#PBClouds FM

March 20, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

s7Katika zile zilizopewa Headlines kwenye Magazeti ya leo March 20, iko ya Serikali bado haijawasili kwenye ofisi za Bunge muswada ikiwemo ya vyombo vya habari ambayo itasomwa na kujadiliwa kwenye vikao vya Bunge vinavyoendelea, chama cha ACT kimejipanga kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ajali zimendelea ndani ya hifadhi ya Mikumi baada ya watu 7, kufariki kwenye ajili ya basi jana ndani ya hifadhi hiyo, wanafunzi  wa shule ya Sekondary Mwika na Ashira wamesema mfumo wa BRN nivigumu kutekelezeka katika sekta ya elimu, Mkuu wa Mkoa wa Dar Saidi Meck Sadiki ameishauri BOT, kuzibana benki na taasisi za fedha kupunguza riba ili wananchi wengi wakope, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameelezea kukerwa na mafisadi wa fedha za umma kuachwa badala la kuchukuliwa hatua kali, Bunge limeitaka Serikali kupiga marufuku uingizwaji wa silaha bandia nchini, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini, Serikali na wadau wa sekta ya elimu wametakiwa kuboresha shule kongwe nchini.

88.0 Clouds FM inasikika ukiwa Tabora.

Bonyeza play kusikiliza Uchambuzi wa Magazeti ya Leo

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 7, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 6, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 5, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo March 20, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kilichoandikwa MAGAZETINI stori kwenye kurasa za mbele na za nyuma MARCH 20 2015
Next Article Hapa nimekuwekea stori zilizopewa headlines kwenye MAGAZETI ya leo Tanzania March 20, 2015
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
Sports December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
Top Stories December 10, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?