Magazeti

Uchambuzi wa stori za #Magazeti #June22015 redioni nilirekodi na kukuwekea hapa (Audio)

on

Lighting News (image can be used for printing or web)

Uchambuzi wa Magazeti ulikupita? Nimekurekodia stori zote za magazetini redioni @CloudsFM, hapa ziko stori zote zilizosikika leo.

Idadi ya wanaoutaka Urais imeongezeka, Balozi Ally Karume nae katangaza nia ya kuwania Urais 2015, Prof. Mark Mwandosya aja na njia kumi za kuinua uchumi wa TZ na Luhaga Mpina ahidi kuongeza pato la taifa mara tatu.

Stori nyingine zilizosikika kwenye Uchambuzi wa magazeti leo iko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mzumbe ambaye nae katangaza nia ya kugombea Urais mwaka huu huku akiahidi kuweka mkazo kwenye mambo manne muhimu ikiwemo mfumo wa Elimu, Afya, Kilimo na Michezo.

Kuna mahojiano na Wahariri ambapo wametoa mitazamo yao kuhusu wanaojitokeza kuwania Urais wa TZ 2015.

Sauti yote yenye hizo stori unaweza kuisikiliza hapa.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments