Magazeti

Uchambuzi wa stori za #Magazeti leo #MAY282015 redioni nilirekodi na kukuwekea hapa (Audio)

on

&MaxW=640&imageVersion=default&AR-140929682

Kama ulipitwa na uchambuzi wa Magazeti redioni @CloudsFM hapa iko sauti yote.

Kwenye stori zilizosikika kwenye Uchambuzi iko ya Chama cha Wanasheria Tanganyika kushinikiza Bunge lisipitishe Miswada ya Habari TZ, Muhongo amesema sakata la ESCROW halijamzuia kugombea Urais mwaka huu.

Nyingine ni kutoka Nairobi, inahusu Mwanasheria anayejipanga kumuoa mtoto wa Obama, ishu ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limeelezwa kuwa ni janga la kitaifa.. Wabunge wamemkaanga Waziri Magufuli wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, nyingine inahusu Kivuko cha Dar-Bagamoyo kinatumia saa tatu kufika Bagamoyo kinaigharimu Serikali.

Kuna stori pia kwamba watu zaidi ya 2,000 wamefariki mwaka 2014 kutokana na ishu ya imani za kishirikina.

Sauti yote yenye hizo stori unaweza kuisikiliza hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments