Magazeti

Walioanguka Kura za Maoni CCM? Makongoro kujitoa CCM.. Said Fella na Yusuph Manji kwenye Udiwani wamepita? (Audio)

on

monday1

Magazeti ya August 3 2015 yako mtaani tayari na vichwa vyake vikubwa vya habari, kazi yangu ni kukusogezea zile zote kubwa kubwa zinazoweka vichwa vya habari magazetin

CCM waanguka kura za maoni, Rostam Aziz ajisalimisha kwa Magufuli, Makada wa CCM ngumi nje nje na Makongoro Mahanga ajingo’a CCM na kujiunga na CHADEMA.

Mawaziri wa 5 CCM waanguka kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia Chama hicho, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe na Manaibu Waziri 4.

Kamati Kuu CHADEMA yakaa Kikao kwa siri nzito… Kuna stori pia kuhusu Yusuph Manji na Said Fella kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha Udiwani  katika jimbo jipya la Mbagala jijini Dar.

Unaweza kusikiliza uchambuzi wa stori zote kutoka magazeti @CloudsFM hapa chini kwenye hii sauti.


PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments