Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Magufuli Manyara, Lowassa na posho, ACT Wazalendo na upinzani?, Pinda na Magufuli?
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Magufuli Manyara, Lowassa na posho, ACT Wazalendo na upinzani?, Pinda na Magufuli?
Magazeti

Magufuli Manyara, Lowassa na posho, ACT Wazalendo na upinzani?, Pinda na Magufuli?

October 5, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? zipo nyingi zilizoshika headlines kwenye kurasa za magazeti 05 October, kama zilikupita unaweza ukacheki na hizi pia.

Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila ameiaga dunia siku ya jumapili October 4 katika ajali ya gari iliyotokea Chalinze wilaya ya Bagamoyo akiwa anatokea mkoani Njombe kwenye mkutano wa Madiwani na Wabunge, chanzo cha ajali ni mwendokasi.

Mgombea Urais CCM Dk. John Magufuli amewataka viongozi wa mkoa wa Manyara kuwagawia wananchi mashamba yaliorudishwa na Serikali baada ya wawekezaji kushindwa kuyaendeleza kabla hajaingia madarakani, ameahidi pia kujenga barabara pamoja na hospitali Babati… Edward Lowassa ameahidi kuwalipa posho wenyekiti wa vijiji na Serikali za mtaa.

Aliyekuwa kada wa CCM mzee Kingunge amejitoa CCM na kusema kuwa hatojiunga tena na Chama chochote cha Siasa… Rais Jakaya Kikwete amuelezea Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuwa Chama cha CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu October 25 bila wasiwasi wowote.

ACT Wazalendo ni Chama pekee chini ya mfumo wa vyama vingi kinachoongoza kwa kuweka upinzani kwenye vyama vingine vya Siasa.. NEC imewataka wanasiasa na vyama vyao kuwa tayari kuyakubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu October 25 na waache kufanya vurugu… NEC imetoa fomu za mfano za kupiga kura zitakazosambazwa kwenye kata zote kwa ajili ya elimu ya awali ya namna ya kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu.

Rais Kikwete amewateua Wakuu wa Wilaya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine 7… Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema hana kinyongo na Dk. John Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Rais kwani anaamini kuwa Mungu ndiye aliyemchagua.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM,TWITTER,FB, YOUTUBE

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 1, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 31, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo October 5, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tarehe ya ujio wa album mpya ya Davido imenifikia mtu wangu!
Next Article Ushindi wa Goli 5-2 ukakamilishwa na jamaa kumvalisha pete Mchumba wake hapohapo Uwanjani… (+Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?