Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais JK, Seif wakubaliana, Dk. John Magufuli kuapishwa leo, UKAWA, CHADEMA? – (Audio).
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Magazeti > Rais JK, Seif wakubaliana, Dk. John Magufuli kuapishwa leo, UKAWA, CHADEMA? – (Audio).
Magazeti

Rais JK, Seif wakubaliana, Dk. John Magufuli kuapishwa leo, UKAWA, CHADEMA? – (Audio).

November 5, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Good Morning mtu wangu, leo ni Alhamisi 05 November 2015 na kama kawaida lazima siku ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM. Kama zilikupita na hukuzipata zote karibu ucheki na hizi nyingine hapa chini kufidia.

Kikwete, Seif wakubaliana wateta kwa saa moja Ikulu Dar es salaam, Dk. John Magufuli kuapishwa leo, CHADEMA, UKAWA wakataa kushiriki, Rais Kikwete atangaza leo kuwa sikukuu ya mapumziko lakini NECTA inasema sikukuu ya leo haiwahusu kidato cha nne.

Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli anategemea kuapishwa leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam baada ya kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika siku ya October 25 2015 na baadhi ya viongozi wa nchi watakaokuwepo leo kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule ni pamoja na viongozi kutoka Uholanzi, Marekani, Uingereza, Nigeria na Misri.

Aliyekuwa mgombea wa Ubunge wa jimbo la Iringa mjini, Frederick Mwakalebela ameenda Mahakamani kupinga matokeo ya Ubunge ya jimbo hilo dhidi ya Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA… Rwanda wataka Sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili, lugha inayotumiwa zaidi na nchi za Umoja wa Africa Mashariki, EAC.

Mgombea Urais Zanzibar, Maalim Seif jana alikutana na Rais Jakaya Kikwete na kufanya mazungumzo ya saa moja juu ya hali ya kisiasa visiwani Zanzibar, taarifa iliyotolewa na Ikulu jana imesema kuwa Maalim Seif na Rais Kikwete wamekubaliana kuwa kila pande iendele kutafuta suluhisho juu ya hali ya kisiasa inayoendelea visiwani humo.

Hapa chini ipo sauti nzima ya uchambuzi wa magazeti kwenye #PowerBreakfast, kusikiliza bonyeza play hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2023

TAGGED: Magazeti PB
Millard Ayo November 5, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania leo Novemba 5, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Next Article Video: Wema Sepetu alivyozawadiwa kwenye birthday party yake.. na Lulu ndani !
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?