Magazeti

StoriKUBWA>> Fursa alizotengeneza Prof. Muhongo, Baraza la Mawaziri la January Makamba.. Wagombea CCM (Audio)

on

Headlines

Magazeti ya leo June 08 2015 yako mtaani, hapa nina uchambuzi wa Headlines uliofanywa redioni.

Kuna stori kwamba mabilioni ya RICHMOND yaanza kununua Urais, Kafulila nae ameendelea kuikomalia ESCROW… Muhongo amewawezesha Watanzania kwenye nafasi za juu Kimataifa, iko stori pia kuhusu mdahalo wa Wagombea Urais utakaofanyika leo Dar.

Watz wamepewa tahadhari kuwepo kwa fedha bandia mitaani, kuna stori pia kwamba Waziri Membe amesema akiwa Rais, Hayati Mwalimu Nyerere atafurahi… January Makamba amesema hagombei Urais ili agombane na watu, akiteuliwa ataunda Baraza la Mawaziri 18.

Wagombea Urais CCM wamefikia 20, iko stori pia kuhusu Dk. Kingwangalla kusema kwamba Urais hauhitaji uzoefu.. stori hizo na nyingine ziko kwenye hii sauti hapa.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments