Magazeti

Waliopitishwa Ubunge CCM, Dk. Mwakyembe kuhusu Mishahara? Kimbunga cha wanaohama CCM.. (Audio)

on

thursday2Kwenye stori kubwa AUGUST 13 2015 kuna hizi pia mtu wangu zenye headlines kubwa Magazetini.

Kimbunga cha Lowassa chaendelea kuwang’oa vigogo wa CCM na kuwapeleka CHADEMA… Vigogo wapenya uteuzi wa Ubunge, Mawaziri na Manaibu wamo pia kwenye waliopitishwa na NEC.

List ya waliopitishwa Halmashauri Kuu ya CCM nayo ni sehemu ya stori zenye uzito mkubwa leo, kuna stori pia inayohusu Dk. Harrison Mwakyembe kusema kwamba ulipaji wa Mishahara mapema inaongeza motisha ya kufanya kazi.

Sauti niliyorekodi sehemu ya Uchambuzi wa stori hizo iko hapa mtu wangu, ukiplay utazisikiliza stori zote pamoja na kujua majina ya Wajumbe waliopitiushwa na CCM kwenye Ubunge Majimbo yote TZ.


PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments