Magazeti

Tukio la ujambazi Dar, UKAWA na mgombea Urais, NEC kuongeza majimbo? >>>Stori Kubwa (Audio)

on

listen

Inawezekana ulikuwa mbali na redio yako na Uchambuzi wa magazeti redioni kupitia @CloudsFM ulikupita, ninazo hizi stori kubwa zilizochambuliwa leo July 14 2015.

Stori iliyochukua nafasi kubwa kwenye Magazeti ya leo ni tukio la ujambazi lililotokea Dar es salaam, majambazi walivamia kituo cha cha polisi cha Stakishari na kufanya mauaji pamoja na kupora silaha zilizokuwa kituoni hapo.

UKAWA wanatarajiwa kumtangaza Mgombea wao wa Urais leo na watu wanaopewa nafasi kubwa ni Dk. Wilbroad Slaa na Prof Lipumba… NEC pia imetangaza kuongeza Majimbo mapya 26 ya Ubunge.

Kuna stori kutoka Kenya pia inayohusu Msiba wa Mwigizaji maarufu na mchekeshaji wa kipindi cha Vitimbi Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang

Uchambuzi wa stori zote kubwa leo kwenye @PowerBreakfast unaweza kuusikiliza hapa pia.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments