Magazeti

Mkapa anguruma, Lowasa vizingiti kila kona, NEC yashtukia vyama vya siasa, + UKAWA yafanyiziwa! (Audio)

on

onn

Kama hukuwa karibu na radio yako asubuhi hii uchambuzi wa magazeti @CloudsFM utakuwa umekupita. Zimesikika kubwa za leo kwenye vichwa vya habari baadhi zikiwa..

Vyama vya Siasa mtegoni, ratiba ya kampeni yazua mjadala… UKAWA wafanyiziwa wakwama kupata uwanja wa Jangwani, NEC yapiga marufuku kampeni za mikusanyiko, Lowassa vizingiki kila kona azuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani.

Mkapa anguruma tena alibariki Lowassa kukatwa, mgombea Urais CCM John Magufuli arudisha matumani kwa Watanzania asema akipewa nafasi ya kuiongoza nchi atateua Serikali yenye Mawaziri watakao kuwa watendaji kazi na waadilifu.

Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa kuongea na wanawake wa katika kongamano la Wanawake lililoandaliwa na BAWACHA ya CHADEMA leo… Walemavu wasema CCM wanawabagua, Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuzindua kampeni za uchaguzi tarehe 30 mwezi huu.

Sumaye awa guzo CCM, NEC yashtukia, yasema kila Chama kifuate ratiba watoa angalizo kwa vyama hivyo kufuata Sheria zinazohusiana na namna na utaratibu wa kufanya kampeni hizo.

Sauti ya uchambuzi wa magazeti kupitia #PowerBreakfast ipo hapa chini.


PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments