Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania leo July 29 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > fB insta twitter > Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania leo July 29 2016
fB insta twitter

Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania leo July 29 2016

July 29, 2016
Share
0 Min Read
SHARE

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

#NIPASHE TAKUKURU yaanza kuchunguza kashfa ya bil 60 inayolikabili jeshi la polisi iliyoibuliwa na Rais Magufuli pic.twitter.com/STA2nPrbRo

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE Mama wa mtoto aliyewekewa betri moyoni amesema mtoto amepewa sharti la kutoishi karibu na minara ya simu pic.twitter.com/rRzxT9eqTj

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE Waombaji mikopo elimu ya juu wafikia 69,820 zikiwa zimebakia siku tatu kufikia mwisho wa kupokea maombi pic.twitter.com/X1JYSZriO4

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE Serikali yataka TTCL izaliwe upya na kuwa namba moja ktk utoaji wa huduma za mawasiliano nchini pic.twitter.com/x2k9ESSZ22

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE Tanzania, Korea zasaini hati ya makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya bil 650 pic.twitter.com/78xiSGKAN7

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE Edward Lowassa awachongea kwa JPM wanaodaiwa kukisaliti chama 'CCM' akiwataka waendelee kumpa taarifa pic.twitter.com/AFoktMItvL

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#NIPASHE 63% wafanyakazi sekta ya habari, usafirishaji, upagazi hawana ajira rasmi hivyo kuikosesha serikali mapato pic.twitter.com/2fZEpMf0Db

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi, CCM wameituhumu CHADEMA kutoa kauli wanazodai zimejaa uchochezi pic.twitter.com/lwMzcPO0oT

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Lipumba amesema viongozi wa serikali wana tatizo la kutotekeleza mipango ya maendeleo wanayoiweka pic.twitter.com/SXzhHAizUu

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Waziri Nchemba asaidia kumkamata raia wa China anayedaiwa kumpiga mchimbaji mdogo ktk mgodi wa Nyamahuna pic.twitter.com/xoMcE7wsb6

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Zitto atilia shaka akiba ya taifa ya fedha za kigeni, Gavana BoT asema bado ipo akiba ya kutosha pic.twitter.com/Vzhcel3RHq

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Jeshi la polisi limesema mwezi ujao litahamishia makao makuu yake Dodoma kuitikia agizo la Rais Magufuli pic.twitter.com/JZggKbf30D

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Viongozi manispaa Dom wasema wamejipanga, wana uwezo wa kupokea makao makuu ya nchi kwani walishajipanga pic.twitter.com/g10y1Hhqwr

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Uingereza imefanikiwa kufanya upasuaji na kupandikiza mgonjwa mikono ya mtu mwingine pic.twitter.com/VH8Vyaw6GF

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

#MWANANCHI Daladala 3,589 Mwanza hazina vituo rasmi na kusababisha kutozwa faini kwa kusimama maeneo yasiyo rasmi pic.twitter.com/UhuHo4GrRj

— millardayo (@millardayo) July 29, 2016

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JULY 29 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

PICHA 9: Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie

Jamaa apiga simu polisi baada ya kufuatwa na Nguruwe Marekani

‘Nimepoteza beats za nyimbo zangu zote’ – Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

INSTAGRAM: Maneno 13 ameyaandika Tundu Lissu leo

Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”

TAGGED: Facebook Twitter na Insta
Millard Ayo July 29, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha 7: Ilichokiamua Mahakama kuu Tanga kuhusu kesi ya ubunge wa Jumaa Aweso
Next Article Vitu sita alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Simba SC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?