Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Mwananchi, yenye kichwa cha habari ‘simu bandia zapata soko Msumbiji, Congo’.
#MWANANCHI Baada ya TCRA kuzima simu feki, Wafanyabiashara wamepata soko jipya katika nchi za Msumbiji na Congo pic.twitter.com/T0C6vNT947
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
Gazeti hilo limeripoti kuwa Siku mbili baada ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima simu feki, wafanyabiashara wa simu hizo wamepata soko jipya katika nchi za Msumbiji na Congo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hilo, baadhi ya vijana waliokutwa wakizunguka madukani kuzikusanya, walisema wanazinunua na kuzisafirisha kwenda huko kwa ajili ya kuziuza kwa watumiaji. Walisema katika nchi hizo kuna soko kwa sababu zinakamata mawasiliano kama kawaida.
Gazeti hilo limemnukuu Lawrence Kyondo ambapo amesema wanazinunua kwa bei ya makubaliano na kwenda kuziuza katika soko la nje……….>>>’hatujaanza hii biashara leo, siku nyingi isipokuwa wenye maduka walikuwa bado wagumu kuziuza wakidhani hazitazimwa’
Unaweza kuzipitia habari zingine kubwa kwenye magazeti ya leo hapa chini
#NIPASHE Wabunge wa CCM waigomea Serikali, wataka Magufuli, Samia, Majaliwa nao wakatwe kodi pic.twitter.com/GONa5dGhSe
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#NIPASHE CCM imetangaza kuwa mwenyekiti wake wa sasa JK ataachia ngazi July 23 2016 na kumuachia kofia Rais Magufuli pic.twitter.com/VyLK4PAbsU
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#NIPASHE Polisi Dodoma limesambaratisha mahafali ya wanafunzi wa Chuo UDOM ambao mgeni rasmi alikuwa Fredrick Sumaye pic.twitter.com/tssCL5Wiy7
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#MWANANCHI Wizara ya afya Z'bar imesema wagonjwa 4,249 wa kipindupindu wamepokelewa hospitalini na 88 wamefariki. pic.twitter.com/cO6hVIDMvC
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#NIPASHE SSRA imetoa ufafanuzi fao la kujitoa mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa ni ruksa kutolewa kwa wanachama pic.twitter.com/MDPLjnaOWO
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#NIPASHE Lowassa amesema katiba mpya ndiyo suluhisho pekee la kuleta tume huru ya uchaguzi badala ya NEC pic.twitter.com/ODjByhBi5M
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#NIPASHE Serikali imekiri kasoro usambazaji sukari ambapo umekosekana ushirikiano baina ya Ma-RC na wasamabazaji pic.twitter.com/jH09eQvMuc
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#MWANANCHI RITA imesema talaka nyingi zinazotolewa ni batili kwa sababu hazitolewi kisheria na hazitambuliwi na RITA pic.twitter.com/hCLTbdja8c
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#MWANANCHI JK amesema elimu bure bado ina changamoto nyingi kwa wanafunzi hasa wenye hali duni pic.twitter.com/aDrpgclvO6
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#JamboLEO Lowassa atoa siri ujio wa TB Joshua, asema aliitwa na CCM kumshawishi akubali matokeo ya uchaguzi mkuu pic.twitter.com/E9fbVQUf2C
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#JamboLEO Muhimbili inatarajia kuanza kutoa huduma ya kupandikiza figo nchini ifikapo December pic.twitter.com/TG842op3G0
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#JamboLEO Sakata la kupima wanafunzi bikra limeingia shubiri Afrika kusini baada ya baadhi ya watu kupinga mfumo huo pic.twitter.com/7meZVSlxUn
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
#MTANZANIA Serikali kuwasilisha muswada mpya wa sheria ya fedha ya mwaka 2016 bungeni utakaowabana wenye nyumba pic.twitter.com/yY8iDJ9Q8R
— millardayo (@millardayo) June 19, 2016
UMEKOSA KUANGALIA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUN 19 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE