Ad

AyoTV

VIDEO: Ilivyokuwa kwenye mapokezi ya Rais Magufuli Mwanza

on

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara zake katika mikoa mbalimbali nchini na time hii ni zamu ya Mwanza ambapo alihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza August 10 2016 mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.

Hapa nimekusogezea video yake na unaweza kuitazama..

ULIIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI KUPIGA MNADA MAJENGO YA SERIKALI DAR

Soma na hizi

Tupia Comments