Magazeti

Sikiliza Magazeti yaliyosomwa Redioni Leo Novemba 11.

on

Headphones Podcast On-Air

Tumia dakika 18 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 11, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast. Zipo taarifa nyingi ikiwemo inayohusu kilichozungumzwa jana Bungeni Dodoma kuhusiana na Rais Kikwete kupatiwa matibabu Marekani.

Bonyeza play kusikiliza stori zenyewe hapa chini

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments