Michezo

Magoli ya Juan Mata na Lambert kwenye mchezo wa jana yatazame hapa

on

article-2625599-1DC0046100000578-506_634x403Manchester United na Southampton jana walicheza mechi ya mwisho ya ligi kuu ya England kwenye dimba la St. Mary. Matokeo ya mchezo huo yalikuwa sare 1-1. Juan Mata aliifungia United na Ricky Lambert aliifungia Southampton.

 

Liverpool vs Newcastle United 2-1 by FootyLight0

Tupia Comments