Michezo

Kama ulimis mchezo wa Arsenal vs Man City – mtu wangu nimekuwekea video ya magoli hapa

on

article-2754415-215519C400000578-599_636x418

Kama ulikosa kushuhudia mchezo wa Arsenal dhidi ya Manchester City, basi mtu wako wa nguvu nimekuwekea video ya magoli ya mchezo huo yaliyofungwa na Jack Wilshare na Sanchez kwa upande wa Arsenal huku magoli ya Man City yakifungwa Aguero pamoja na Demichelis.

Arsenal vs Manchester City 2-2 ~ All Goals… by foothightlights

Tupia Comments