AyoTV

Video ya magoli ya Simba Vs African Sports January 30 2016, Full Time 4-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguko wa pili umeendelea leo January 30 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya Simba iliwakaribisha klabu ya African Sports ya Tanga kucheza mchezo wa marudiano, baada ya ule mchezo wa awali uliochezwa uwanja wa Mkwakwani September 12 2015, Simba kuibuka na ushindi wa goli 1-0, January 30 ndio ilikuwa siku ya marudiano. African Sports wameshindwa kulipa kisasi kwa Simba na kujikuta wakikubali kipigo cha goli 4-0. Mtu wangu wa nguvu unaweza angalia video ya magoli ya mchezo wenyewe hapo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments