AyoTV

Video ya magoli yote ya Stand United vs Simba Feb 13 2016, Full Time 1-2

on

February 13 2016 Simba ilicheza na wenyeji wao Stand United ikiwa ni mechi yake ya 19 Ligi Kuu Tanzania bara, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Simba yalifungwa na Hamis Kiiza dakika ya 37 na 47 wakati goli la Stand United lilifungwa dakika ya 89 na Pastore Atanus, unaweza kutazama hii video hapa chini utaona magoli yote…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments