Michezo

Kama ulimis mechi ya Chelsea vs PSG – angalia magoli yote hapa

on

article-2600105-1CF1BD0B00000578-355_636x428

Chelsea jana usiku ilifanikiwa kupindua matokeo ya 3-1 ya wiki iliyopita kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya PSG katika dimba la Stamford Bridge. Ushindi huo uliiwezesha Chelsea kufuzu kucheza nusu fainali. Unaweza kutazama magoli yote hapa chini……………………

Tupia Comments