Magazeti

Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo January 24

on

imagese2

 

Hizi ni Dakika 17 zitumie kusikiliza uchambuzi wa Magazeti ya leo January 24 yakichambuliwa na PJ kutoka kwenye Power Breakfast,Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Ccm Nape Nnauye katoa tamko kwa wale Mawaziri Mizigo sikiliza kupitia 88.3 Clouds Fm Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments