Videos

VIDEO:Rais Magufuli kashtukiza tena kwa ziara ya ghafla Muhimbili, kakutana na haya…

on

Febr 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alitua tena kwa kushtukiza katika Hospitali ya Muhimbili, Dar na kukuta baadhi ya wagonjwa wakilala hadi wanne kwenye kitanda kimoja. Kwenye hii video hapa chini kuna matukio yote unaweza kuyatazama.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments