Ad

Mix

Dakika 53 za Rais Magufuli akilihutubia Taifa katika mkutano na Wazee wa Dar Leo Feb 13…(+Audio)

on

Feb 13 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na Wazee wa Dar na kulihutubia Taifa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, hapo hapo akachukua time yake kuyawasilisha ya moyoni.

Baadhi ya aliyozungumza ni pamoja naNataka mjue kuwa ni watu wachache sana ambao wametufikisha hapa, tutawashughulikia kwa faida yenu

Hili la utajiri pia limemgusaKuna watu kwao pesa siyo tatizo, na bahati mbaya pesa zenyewe hawajazipata kwa njia halali

Vipi kuhusu siku zake 100 za uongozi?Inawezekana mnatupima sisi katika siku 100, lakini na ninyi mnasahau mmefanya nini kwa siku 100

Unaweza kuisikiliza hotuba yote hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments