AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyojibu Waandishi kwenye Maswali na Majibu IKULU (PART 1)

on

November 4 2016 Rais Magufuli alikutana na Waandishi wa habari IKULU, ni baada ya kuwaalika kwenye kutimiza kwake mwaka mmoja toka aingie madarakani na kwenye hii video (PART 1) anajibu maswali waliyomuuliza, tazama hii video hapa chini

VIDEO: Mambo 6 ya mbunge Godluck Mlinga ‘nilisema mwanzoni tukikubali mipango ya Mh. Mpango tutauza hadi IKULU’

Soma na hizi

Tupia Comments