Ad

Mix

VIDEO: Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti wa Afrika Mashariki

on

Leo May 18 2017 mawaziri kutoka nchi za Afrika Mashariki wamekutana Dar es salaam kuzungumza na kutazama muelekeo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga ameeleza kuwa Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo, President Magufuli atakabidhi uenyekiti kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni May 20 2017 jijini Dar es salaam. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Baada ya mti…ameibuka mtu anayeongea na Mungu, Mwanza

Soma na hizi

Tupia Comments