AyoTV

VIDEO: Mtazame Rais Magufuli akimtangaza katibu mkuu kiongozi mpya

on

March 6 2016 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemtangaza katibu mkuu kiongozi mpya kwenye serikali yake ambaye anachukua nafasi hiyo iliyokua kwa Ombeni Sefue, katibu mkuu mpya amekua akifanya kazi kama Balozi wa Tanzania India, mtazame Rais Magufuli hapa chini.

ULITAZAMA JINSI WAIGIZAJI WATANZANIA WALIVYOSHINDA TUZO NIGERIA JANA AFRICA MAGIC VIEWER’S CHOICE AWARDS? TAZAMA HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments