Mix

Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)

on

Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili utakaozalisha megawatts 240 za umeme na utakaogharimu Dola za kimarekani milioni 344.2.

Hii ndio video kutokea Ikulu, wawezakuitazama kwa kubonyeza Play hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

 

Soma na hizi

Tupia Comments