Mix

Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio)

on

Leo Dec 22 2015 Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard. Hapa nimekusogeze dakika mbili za Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitolea ufafanuzi wa hatua hiyo ya Rais.

Bonyeza Play hapa chini kuna kila kitu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments