Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: ‘Tunajenga chuo cha Mafuta, Gesi na Umeme lindi ili kujengea Uwezo watu wetu’- Waziri Makamba
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > ‘Tunajenga chuo cha Mafuta, Gesi na Umeme lindi ili kujengea Uwezo watu wetu’- Waziri Makamba
Top Stories

‘Tunajenga chuo cha Mafuta, Gesi na Umeme lindi ili kujengea Uwezo watu wetu’- Waziri Makamba

November 25, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwa kwenye utiaji saini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma – Mtwara, Waziri Makamba amesema >> ‘Ndugu zangu wa Lindi na MTWARA – sasa nchi yetu inaanza kuingia kwenye uchumi wa gesi”

“Sio kwa tukio hili la leo tu, lakini kwa mlolongo wa matukio na jitihada za Serikali. Kule Arusha, tupo kwenye hatua za mwisho za majadiliano kwenye ule mradi wetu wa kuchakata gesi utakao gharimu zaidi ya trilioni 70. Huu utakuwa uwekezaji mkubwa barani Afrika.’ – Waziri Makamba

‘Pia eneo la Lindi, serikali imeamua kujenga Chuo (Polytechnic) cha mambo ya Mafuta, Gesi na Umeme, ili kujengie watu wetu uwezo’ – Waziri Makamba

‘Lakini pia tutajenga Special Economic Zone ndani ya eneo la mradi ili kuchochea maendeleo ya Lindi na Mtwara baada ya mradi kukamilika’ – Waziri Makamba

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA November 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha:Kamo Mphela tayari amewasili Dar, kutoa burudani Elements Masaki Usiku wa leo
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 26, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?