Mix

PICHA 13: Maafisa wa polisi waliopandishwa vyeo wamekula kiapo cha ahadi ya uadilifu

on

July 16 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  alifanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali na pia kuwapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania. Leo July18 2016 limefanyika zoezi la kula Kiapo ahadi ya uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.

6 7 8 9 10 11 12 13 1 2 3  4 5

ULIIKOSA HII RAIS MAGUFULI KUSEMA KUWAHUWEZI KUWA NA EXPERIENCE YA OVYO KWA SABABU HATA WIZI NI EXPERIENCE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments