Top Stories

Magufuli ampa makavu Kigogo wa CCM alielalamikia Wapinzani wanaohamia CCM kupewa nafasi (+video)

on

Katika Mkutano Mkuu wa CCM leo July 10, 2020 Rais Magufuli amemkosoa Mjumbe wa CCM alietoa lawama juu ya Wapinzania wanaohamia CCM kutoka Upinzani kupewa nafasi za kugombea na Wana-CCM kuachwa.

“Chama hiki ni cha watu, kina misingi yake, tunao watu waliokuwa Upinzania leo wapo Kamati Kuu akiwemo Makongoro, Wasira, inawezekana anaekuja mna wasiwasi atawashinda” Magufuli

“MZEE PINDA NILIMPINDUA URAIS 2015” RAIS MAGUFULI AKIONGEA NA WAGOMBEA URAIS ZANZIBA

Soma na hizi

Tupia Comments