Top Stories

Magufuli amshangaa Jokate “kwa nini Wazaramo hamjamuoa, mnashindwa mambo” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amewashangaa watani zake Wazaramo kwa kushindwa kumuoa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ili hali hana Mume.

“Hata mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero , hapa kulikuwa na Zero nyingi sana, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mmeshindwa kumuoa mnamuangalia tu, ndiyo shida ya wazaramo saa zingine mnashindwa mambo” JPM

Soma na hizi

Tupia Comments