Top Stories

Magufuli amuita Joshua Nassari amuahidi kazi “njoo uwaombee kura wenzako” (+video)

on

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari leo amemuomba radhi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa mambo aliyoyafanya akiwa upinzani.

Nassari alihamia CCM akitokea CHADEMA July 2020, miezi kadhaa baada ya kuvuliwa Ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vitatu vya bunge.

Soma na hizi

Tupia Comments