Top Stories

Magufuli amvaa Kitila Mkumbo hadharani “nilikosea kuchagua Viongozi, kwako wanafunzi wanakaa chini (+video)

on

“Kuna shule ipo Dar es Salaam, Ubungo (Balango) bado wanafunzi wanakaa chini, madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika Mkuu wa wilaya yupo, mkuu wa mkoa yupo, Mkurugenzi yupo na Mbunge wa Ubungo yupo tena yupo hapa na ni profesa wa elimu (simama wakuone)” Rais Magufuli 

“Namshukuru mwandishi ameitoa kwenye Mitandao, viongozi wakaanza kusema ni masuala ya kisiasa, hayo ndio napenda kuyajua, nazungumza nikiwa Kagera nikienda Dar es Salaam niyakute madarasa yamekamilika na wanafunzi hawakai chini, nitakwenda kuitembelea, kama wananisikia ‘message sent and delivered” Rais Magufuli

GENIUS ALIEONGOZA KIDATO CHA 4 NCHI NZIMA “BABA AMEFARIKI, MAMA ALIBAKI BUBU, ZAWADI IPHONE 12”

Soma na hizi

Tupia Comments