Top Stories

Magufuli “Waziri Mkuu kawaambie, waondoke kama hawataki, Wapinzani wametukubali” (+video)

on

Rais Magufuli (Mwenyekiti wa CCM Taifa) amekutana na Viongozi na Watendaji wa CCM na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya katika kikao kinachoendelea muda huu JNICC,DSM ambapo ametoa angalizo kwa wanaosema Chama kinawafuatafuata.

“Kamwe hatutegemei kuona Mtu ndani ya CCM wa kusema Chama kinanifuatafuata, ukikosea lazima Chama kikufuatefuate kama unaona hupendi kufuatwafuatwa ondoka” – JPM

WAKINA MBOWE WAMEBADILI MBINU ZAO, NYINGINE SIO ZA WAZI NA SISI TUJIPANGE

Soma na hizi

Tupia Comments