Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Mahakama duniani, full stori na makabidhiano yalivyokuwa ndio hii kwenye hii video hapa chini.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE