Mix

Rais Magufuli kaziachia bilioni 18.77 tayari…kodi imekusanywa vipi ikilinganishwa na mwaka 2014?

on

Siku chache tu baada ya kuuanza mwaka 2016, tayari ile ahadi ya Rais John Pombe Magufuli kuhusu kutoa elimu bure kwa Watanzania imeshaanza kutekelezwa ambapo Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango amethibitisha tayari kwamba Bilioni 18.77 zimetolewa kupelekwa kwenye shule za msingi na sekondari ili Wanafunzi wasome bure, bonyeza play hapa chini kupata info zaidi kuhusu pia ukusanyaji kodi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments