Stori Kubwa

Maamuzi mengine ya Rais Magufuli baada ya ziara ya Waziri Mkuu bandarini..

on

Leo Waziri mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya kushtukiza bandarini na kuwasimamisha kazi maofisa watano kutoka katika vitengo mbalimbali kutokana na upotevu wa makontena 349 ambayo thamani  ya kiasi cha shilingi 80 bilioni.

kamisna

Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA Rished Bade

Baada ya Waziri mkuu kufanya maamuzi hayo Leo rais Dk Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna wa Mamlaka ya TRA, Rished Bade na kumteua Bwana Philip Mpango kukaimu nafasi hiyo kufuatia upotevu huo.

Taarifa nyingine kutoka Ikulu hii hapa.

IMG-20151127-WA0007 - Copy

 
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments