AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alipomtembelea Maalim Seif hotelini kumjulia hali

on

Amekua akisema siku zote kwamba yeye ni Rais wa Watanzania bila kujali vyama wala dini ndio maana March 9 2016 Dk John Joseph Magufuli alimtembelea na kumjulia hali makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kwenye hoteli ya Serena Dar es Salaam ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Tazama hii video hapa chini uone ilivyokuwa….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments