Michezo

Mahaba mtoto mwenye ulemavu, amvaa Kocha, apewa hela (Video+)

on

Ni July 25, 2021 ambapo Simba SC ilitwaa ubingwa wa Kombe dhidi ya Yanga katika mchezo uliochezwa Mkoani Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika. Hapa nimekusogezea video ujionee Kocha wa Smba alivyomkabidhi Kombe shabiki wa Simba kwa mahaba.

SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA GOLI LA KWANZA KIGOMA

SIMBA WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA FA KIGOMA, SHANGWE ZAPIGWA

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments